Picha: Tazama picha ishirini (20) za utengenezaji wa Filamu mpya ya Odama Jicho langu

Unknown Monday, September 2, 2013 0

Picha za behind the scenes ya Filamu mpya ya mwanadada Odama (Jennifer Kyaka)  iitwayo “jicho langu” inayotarajiwa kutoka hivi karibuni.