Mkali wa Bongo Flava Ommy Dimpoz aliyepo ziarani barani Ulaya, jana ameishuhudia live uwanjani mechi ya Barcelona na Real Betis kwenye uwanja wa Nou Camp wa Barcelona.
Katika mtanange huo, Barcelona ilishinda kwa bao 4-2.
Unknown Monday, May 6, 2013 0 No comments
Category: celebrity Photos News Ommy Dimpoz
Designed by Bravo Designs
No comments: