» » » » » SNURA AFANYA KICHUPA CHA MAJANGA SOUTH AFRICA [PICHA 9]



Video ya wimbo wa MAJANGA wa SNURA imefanyika katika nchi mbili tofauti, Tanzania na Afrika Kusini. Kwenye video hiyo wataonekana JACKLINE WOLPER,CHUCHU HANS,CHEK BUDI na DUDE.









Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply