Habari kwa Ufupi :

    3:00
» » » » PHOTOS; GET TOGETHER YA CHOICE FM PAMOJA NA UZINDUZI WA ESCAPE 1 …





Jana usiku, radio ya CHOICE FM ilikuwa na party ya pamoja ikihusisha wafanyakazi wa kituo hicho na kualika fans pia … Get together hiyo ambayo pia iliambatana na uzinduzi wa ukumbi wa ESCAPE 1 uliopo maeneo hayo ya Mikocheni …

Check baadhi ya picha katika tukio hilo ;










AY, Izzo Bizness & Quick Rocka



Vanessa Mdee on stage …



Gosby na Vanessa Mdee wakiimba CLOSER (Remix) … Gosby has a new track, BMS inabidi uitafute uisikie kama bado hujaisikia …




AY akipiga show …


Comedian Evans Bukuku .




Wafanyakazi wa CHOICE FM wakikata cake …




Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Ne-Yo atangaza kuachana na mchumba wake aliyezaa naye watoto wawili
»
Previous
New Music: Bob Junior – Kimbiji

No comments:

Leave a Reply