Habari kwa Ufupi :

    3:00 PM
» » » » Cheki na Picha na ujumbe wa Diamond kwa haters wake




Inaonekana Diamond amechoshwa na haters wanaosubiri aanguke kimuziki na kumcheka, ndio maana leo hii kupitia mtandao wa Instagram, ameamua kutupia picha inayomuonyesha anaanguka kutoka juu (angani) na kufikia chini kwa kichwa kwenye barabara ya lami. Picha hiyo iliyokuwa na maelezo yanayosema , "Najua hiki ndio mnachokisubiri, kwahiyo endeleeni kusubiri" na kuwa cc ma-haters 







Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Mabeste atarajia kuitwa baba siku yoyote kuanzia leo
»
Previous
Ungependa Kusoma Mistari ya Wimbo wa Rama Dee na Lady Jay Dee Kama Huwezi/?Hii Hapa Soma Mwenyewe

No comments:

Leave a Reply