» » » » Hasira Hasara: Kanye West amshambulia tena paparazzi, ashtakiwa kwa ‘jaribio la unyang’anyi’ (video)




Kanye West hajawahi kuwa rafiki wa mapaparazzi. Hasira zake kwa watu hao jana zimemfanya amshambulie mmoja wao kwenye uwanja wa ndege wa LAX akitaka kumnyang’anya camera, na sasa anashtakiwa kwa kesi ya jaribio la unyang’anyi, attempted robbery.







Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply