» » » » Hii ndio Studio Mpya Ya Quick Rocka,Switcher Records, Picha Hizi Kutoka Instagram Yake .


Quick Rocka aka The Switcher ,Rapper aliyeanza Na The Rockas na baadae kuja kufanya kazi kama solo artist chini ya lebel ya Mj Records alipotoa single ya Bullet ft Q Jay ambayo ndio ilimpa umaarufu zaidi Tanzania amefungua studio yake. Jina la studio hio ni Switcher Records.

Tudd Thomas 

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply