Habari kwa Ufupi :

» » » » MAUZO YA ALBUM YA KANYE WEST ‘YEEZUS’ YAPOROMOKA KWA KASI.



Mauzo ya album ya Kanye West ‘Yeezus’ yameshuka kwa asilimia themanini (80%) wiki ya pili tangu album hiyo ilipoingizwa sokoni.
Wakati Album ya mzee Kanye ikiwa inafanya vibaya, The Gifted ambayo ni album ya Wale imeshika nafasi ya kwanza kwa kuuza jumla ya nakala 158,000 according to Nielsen SoundScan.
Album ya Kanye West iliuza jumla ya nakala 327,000 wiki ya kwanza, wakati week ya pili iliuza jumla ya nakala 65,000.

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
TIMU YA WASICHANA KINONDONI YATINGA FAINALI ZA AIRTEL RISING STAR
»
Previous
Je ulipata nafasi ya kuona stage performance ya Criss Brown na Nicki Minaj kwenye BET? Video iko Hapa

No comments:

Leave a Reply