Unknown
Wednesday, July 10, 2013
Hii ni ngoma mpya kabisa kutoka kwa Spince Seseme aliyomshirikisha Dully Skyes, Ngoma inaitwa Kule kule ngoma imefanyika chini ya Producer Mazuu wa Mazuu Records
Pata Muda wako wa Kuweza Kuisikiliza Hapa Chini pia Waweza Kuidownload
No comments: