Habari kwa Ufupi :

» » » » News Review: CPWAA KAJIUNGA NA UNIVERSAL MUSIC GROUP -MAFANIKO HAYA NI MAKUBWA KWA WASANII WETU WA TANZANIA




Habari hii iliandikwa na mitandao mingi ya habari hapa  Tanzania juu ya Mwanamuziki wa miondoko ya crank Cpwaa kupata dili kubwa ya kufanya kazi na Universal Music Group hii ni Hatua kubwa kwa wasanii wetu wa Tanzania kwani Wanavuka mipaka na hii inadhihirisha  kwamba kazi za wasanii wetu toka  Tanzania zinaanza kusikika na kutiliwa umakini na Watu toka mataifa mbalimbali .

Msanii kutoka kundi la Park Lane amejiungaa na Universal Music Group. Kazi zake zitasambazwa na kampuni ya Kleek,a mobile streaming service available on all Samsung smart phone in Ghana, Angola, Kenya, South Africa and Nigeria.
Mkataba huu utamnufaisha sana Cpwaa kujulikana ulimwenguni na pia kuweza kujiongezea kipato zaidi.

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Music Review: Lady JayDEE - Yahaya
»
Previous
TIMU YA WASICHANA KINONDONI YATINGA FAINALI ZA AIRTEL RISING STAR

No comments:

Leave a Reply