Wananchi wa Burundi huenda wakawa wa kwanza kuisikia Tupogo ya Ommy Dimpoz live. Hitmaker huyo kutoka Tanzania anatarajiwa kutumbuiza nchini humo kwenye sikukuu ya Eid mwanzoni mwa mwezi ujao. Tazama poster hiyo kufahamu zaidi.
Home
»
Advertisement
»
News
»
Ommy Dimpoz
» Ommy Dimpoz kutumbuiza nchini Burundi kwenye sikukuu ya Eid
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments: