Juzi mwigizaji wa bongo movies Kajala Masanja aliondokoka nchini kuelekea Afrika ya kusini kwa ajili ya safari binasfi ambayo pamoja na mambo mengine alitembelea chuo cha uigizaji cha AFDA (AFDA the South African School of Motion Picture Medium and Live Performance) iliyopo nchini humo.
Tazama hapo picha kadhaa za msanii huyo nchini humo.
No comments: