PICHA : OPRAH AKIWA KWENYE MBUGA ZA WANYAMA HAPA TANZANIA Unknown Wednesday, July 31, 2013 0 No comments Hivi Karibuni mwanamke tajiri Oprah Winfrey alitembelea mbuga zetu za wanyama kwa muda usiopungua wiki moja hadi kurudi kwake Marekani.Oprah ali-share picha zikionyesha jinsi likizo yake ilivyokuwa huko mbugani serengiti akiwa na mume wake Stedman. Share !
No comments: