» » » » PRODUCER MANECK AAMUA KAJICHORA TATTO YA ALBERT MANGWEAR.. KUSHOW LOVE AND RESPECT



Producer Maneck wa studio ya AM records ameamua kujichora tattoo yenye sura na jina la Albert Mangwair kama moja ya kumuenzi msanii huyo.
Maneck amesema sababu za kuchora tatto hii ni kama kumbukumbu ya milele ya rafiki yake Ngwear. Maneck anasema kwamba yeye na Albert Mangwair wamefamiana mda mrefu sana na pia wameweza kufanya kazi nyingi pamoja na hakuona shida yoyote kuhusu kujichora sura ya Albert Mangwair

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply