» » » VODACOM TANZANIA YAZINDUA “READYSET CHARGE” … CHARGER YA SIMU INAYOTUMIA MIONZI YA JUA …



Vodacom Tanzania sasa wanauza charger za simu zinazojulikana kama ReadySet Charge ambazo zinatumia njia mbadala ya chanzo cha nishati … Charger hizo zinazotumia mionzi ya jua zinawafaa wafanyabishara ndogo ndogo kwa matumizi tofauti katika kazi zao …
Pichani chini; Mfanyabiashara maeneo ya Ubungo akioneshwa jinsi kifaa hicho kinavyofanya kazi …

vodacom

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply