» » » Gooood News! :Marlow na Besta wapata mtoto wa kiume



Familia ya hitmaker wa Pipipi, Marlow na mke wake Besta imeongezeka rasmi jana baada ya kupata mtoto wa kiume. Akiongea na Bongo61  leo Kupitia simu, Marlow amesema mtoto anaendelea vizuri pamoja na mama yake.
Tunawapongeza Marlow na Besta kwa hatua hiyo kubwa kwenye maisha yao.

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply