Habari kwa Ufupi :

» » » Picha: Wakazi azikusanya Ferrari, Bentley, Cobra Classic na watoto wakali kwenye video ya Touch




Ferrari, Bentley, Cobra Classic na watoto wazuri ndio watakaotawala kwenye video ya wimbo mpya wa Wakazi.

Location 1 Performance Scene

Video hiyo ilifanyika nchini Afrika Kusini mwezi uliopita ambako Wakazi alienda kutumbuiza kwenye show ya Big Brother Africa, The Chase.

Wakazi ameshare nasi picha hizi za behind the scenes.

AfricaMagic walikuwa wakifanya interview ya Behind The Scenes

Gari aina ya Bentley lililotumika kwenye video hiyo

Location 1 by Cobra Classic

Location 1 by Ferrari Enzo

Location 1 dancers wakifanya yao


Location 2 warembo wakiwa club







Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
4THE LADIES: Nando is single and ready to mingle but……
»
Previous
MAN UNITED YAANZA MAZUNGUMZO NA MADRID KUMSAJILI LUKA MODRIC

No comments:

Leave a Reply