» » Google kuongeza lugha zaidi za Afrika katika huduma yake ya kutafsiri lugha



Google imeomba msaada kutoka kwa watafsiri wa lugha za kiafrika ili kuboresha huduma yake ya kutafsiri lugha ikiwa ni sehemu ya mpango wake wa kuongeza lugha mbalimbali kutoka mabara yote kwenye huduma zake za tafsiri za mtandaoni.



Hili ndio tangazo lililotolewa na Google kupitia blog yake wiki hii “Hello Africa, we need your help with evaluating translation quality for some of our ‘promising’ African languages,”.

Waombaji wanaombwa kutembelea links zilizotolewa katika blog ya Google na kujaza fomu.

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Picha: Studio ya Muziki Ya Kiri Records Yaimarika Zaidi kwa Kupata Vifaa Vipya na Producer Mpya ...Sasa Kazi Kwenu Wasanii
»
Previous
Jennifer Lopez asaini dili ya kuwa jaji wa American Idol kwa $17.5 Million

No comments:

Leave a Reply