» » » 'Diamond Kaniibia Wimbo Wangu Nilikuwa Nimshirikishe' #MyNumberOne - Dyna Nyange

Kufuatia kutoka kwa hit ambayo inapewa sapoti na video ya mapesa mengi, My Number One ya Diamond Platnumz, Mambo yameanza kuwa mambo baada ya msanii Dyna Nyange kuibuka na kudai kuwa mdundo wa ngoma hii ulikuwa ni wa kwake na ulikuwa ni kwaajili ya wimbo ambao ulikuwa aufanye akiwa amemshirikisha msanii huyo.

Bado tunacheki mishe za kumpata Diamond kwaajili ya kulizungumzia swala hili kwaajili ya kupata uhalisia wake katika mdundo hu ambao unapewa credit kuwa umetengenezwa na Sheddy Clever.

Baada ya kupata story kuhusiana na mchongo huu, tukaamua kumvutia waya producer Sheddy Clever ambaye amesema Ni project ya zamani ya Dayne na alikuwa ameipotezea kwa muda so nikaona sio kesi nikimpa beat Diamond. Nilimwambia Dayne Kuwa Beat Nampa Diamond ikaeleweka hivyo, Nashanga sasa ananiruka na kubisha .
Dyna leo hii amenitumia ngoma hii anayolalamika kuwa amefanyika 'chimpupute' na Diamond Platinums.. so in sam few minutes, nitaiweka uweze kuisikiliza na kutoa maoni yako.

News via: Sammisago

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply