Unknown
Saturday, September 14, 2013
UpDate- Rapper Lil Kim ametangaza kutoka kwa cd yake mpya iliyotakiwa kutoka mwaka jana nakusema itatoka mwaka huu mwezi wa kumi.

Mixtape hio itaitwa Hard Core 2K13 na tarehe ya kutoka ni October 31. Hili ndio cover la cd hio
No comments: