Habari kwa Ufupi :

» » » Picha: Ikionyesha magaidi wakizunguka ndani ya Westgate mall kabla ya kuanza mashambulizi




Hii ni picha ya CCTV inayoaminika kuwa wanaoonekana ni magaidi wa Al-Shabaab baada ya kuingia katika mall ya Westgate huko Nairobi kabla ya kuanza mashambulizi.
westgate gunmen
Japokuwa picha haionekani vizuri lakini wanaonekana watu wawili wakiwa wamefunga vitambaa vyeusi vichwani, na mikononi wakiwa na silaha nzito huku wakitembea ndani ya mall.
Image Credit via : Mail Online

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
WestGate Mall: Mpwa wa Rais Uhuru Kenyatta amabaye ni Marehemu kwa sasa alipigwa risasi 8 baada ya kumkinga mchumba wake aliyeuawa pia
»
Previous
MAMA KIKWETE AKIOMBA KUFUNDISHA LUGHA YA KISWAHILI CHUO KIKUU CHA MONMOUNTH

No comments:

Leave a Reply