» » » » Picha: Shaa Kufanya Collabo na Shettah kwenye wimbo wake mpya


Ni muda sasa umepita toka tusikie wimbo wa mwisho kutoka kwa msanii Sarah Kaisi aka Shaa, lakini kuna uwezekano siku si nyingi ukimya huo ukakatwa na wimbo mpya.
Masaa 16 yaliyopita Shetta aka baba Qayllah ameshare picha Instagram akiwa studio pamoja Shaa na Master J, walipokuwa wakirecord wimbo mpya wa Shaa aliomshirikisha Shetta unaotarajiwa kutoka hivi karibuni. Picha hizo zilisindikizwa na captions: “shettatz shaa ft shetta…. get ready 4 dic…..oghey! cc @shaa_tz”, “shettatz shaa ft shetta comin soon…na master j now…. #seasonArrow”.
Shaa-1
“shettatz shaa ft shetta…. get ready 4 dic…..oghey! cc @shaa_tz”
shaa-2
“shettatz shaa ft shetta comin soon…na master j now…. #seasonArrow”

Credit  Image via: Instagram

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Magazetini Leo Jumatano ya Tarehe 11/9/2013
»
Previous
Video: Hatimaye Kanye West ajibu diss ya Ray Jay

No comments:

Leave a Reply