» » » PENNY AKANUSHA HABARI ZA KUPELEKWA HOSPITALI KUTOKANA NA PICHA ZA DIAMOND NA WEMA




Kufwatia picha za Diamond na Wema ambazo zimesambaa sanaa kwenye mitando hapa Tz zikimuonyesha Diamond na Wema pamoja kwenye hotel na kupelekea mitandao totauti tofauti kuandika kwamba Penny kakimbizwa hospitali baada ya kuziona picha za mpenzi wake Diamond akiponda raha na Wema Sepatu.



Penny alifunguka kwamba yeye ni mzima wa afya na kuandika hivi kupitia mtandao wake wa instagram “Am no sick,niko poa,am okeay at the office!had a long meeting with my director and,no I’m not Sick Jamani…Lol”

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
MWANAUME JIZUIE KUFIKA KILELENI MAPEMA KABLA YA MPENZIO KWA KUTUMIA NJIA HIZI
»
Previous
PICHA: UFOO SARO AFANYIWA UPASUAJI WA KUONDOLEWA RISASI MWILINI APELEKWA WODI 12 YA KIBASILA.

No comments:

Leave a Reply