» » » PICHA ILIYOANZISHA STORI KATIKA WEBSITE NA BLOGS NYINGI





Katika pitapita yangu ya kutembelea website na blogs nyingi nikakautana na picha hii ambayo ilinivutia niweze kushare na wewe.
Picha hii imeanzisha gumzo na maswali mengi miongoni mwa watu na fans wa karibu wa celebrity hawa..kwa jina mshikaji hapo chini anaitwa Raheem ambaye amemaliza katika chuo Kikuu cha Dar es salaam ..facoulty (?)...Unaisi Penny analipiza kisasi kiaina baada ya kuona picha za Diamond amabazo alipiga na Wema Sepetu




Toa maoni yako kuhusiana na picha hapo Juu

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply