Habari kwa Ufupi :

    3:00
» » BAADA YA MH: JANUARY MAKAMBA KUTWEET KUHUSU WADAU WA MUZIKI KULETA WASANII NCHINI , LADY JAY DEE AMPA MAKAVU LIVE


Lady Jaydee


Lady Jaydee kweli ni Anaconda na sio mtu wa kuchezea kwani ukiingia kichwa kichwa kwenye kumi na nane zake anakumeza na kukupaka live kama huna hoja ya msingi. Hayo yamempata Mbunge wa Bumbuli January Makamba. Angalia alichoandika Makamba hapo chini na jibu la Lady Jaydee ambaye ni mwanamuziki mwenye jina kubwa Afrika mashariki.

Uthibitisho Uko Hapa Kuppitia Twitter





Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
MUSIC: HIZI NI NYIMBO AMABAZO ZINAPATIKANA KATIKA MIXTAPE YA CRISS BROWN
»
Previous
PICHA: MCHEKI AGNESS MASOGANGE AKIWA KATIKA POZI TOFAUTI..BAADA YA MAJANGA NOW NI BATAAA

No comments:

Leave a Reply