Habari kwa Ufupi :

» » EXCLUSIVE: STEVE RnB AMVISHA PETE MCHUMBA WAKE [ PICHA]

Ni jambo la kawaida kwa wasanii wa bongoflava hasa wakubwa kama steve RnB kutembea na kila demu mzuri hapa bongo.lakini kwa steve ni tofauti kabisa kwani amefanikiwa kumvisha pete ya uchumba high school sweetheart wake.

Rumour has it kwamba steve RnB na huyu mrembo wametoka mbali na wamekuwa wapenzi wa muda mrefu hadi wameshawahi kufukuzwa shule pamoja.tunamtakia Steve RnB safari njema ya kuelekea katika ndoa.

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
HOT NEWS: BIFU YA ADAMU JUMA NA NISHER
»
Previous
PICHA: KUNANI KATI YA JUX NA JACKIE CLIFF

No comments:

Leave a Reply