
Mwezi uliopita Timberland alipreview wimbo huu wakati wa tour ya Jigga ‘Magna Carter’ huko Uingereza na hatimaye wimbo rasmi umetoka.
Hivi Sasa Jay Z na Drake wanaendelea na tour zao, Jigga akiwa katika ‘Magna Carter World Tour’ barani Ulaya huku Drake akiwa Marekani na ‘Would You Like A Tour’.
Usikilize hapa
No comments: