Wakati wa mahojiano Ellott Wilson kwaajili ya Life+Times (via HipHop-N-More), Q-Tip alifunguka: ‘Natengeneza albam mpya ya Kanye nikiwa na Rick Rubin’.
December 12, Q-Tip atazindua mixtape yake ya pamoja na Busta Rhymes, The Abstract na The Dragon. Pia anafanyika kazi albam yake ijayo The Last Zulu.
No comments: