“Mimi bado nipo Clouds media sema tu sipo kwenye kipindi now lakini mwezi wa pili nitakuwa ndani ya kipindi ukitaka full details zungumza na uongozi wa Clouds Media hope utafahamu zaidi things follow apart” – B12.
B12 afunguka juu ya tetesi za yeye kufukuzwa kazi na Clouds Media
Hamis Mandi aka B12 mkali wa pindi la XXL ni miongoni kati ya watangazaji wa Clouds wanaosemekana wamesimamishwa kazi ya utangazaji kutokana na madai ya chinichini ya kuwa wamekiuka sheria na taratibu za Clouds Media inavyotakiwa kuendeshwa.

No comments: