Katika miaka ya hivi karibuni fashion imekuwa kwa kasi sana na ndio maan siku hizi kila mtu anataka kutoka na look tofauti wenyewe wanasema natural iachie misitu but kuna baadhi ambao bado wanashine with their natural look,hapa tunaongelea wale ambao hawategemei nywele bandia na bado wana-shine popote pale na wakati wowote ule wanapotokelezea kwenye kamera.
Kajala
Hapo utakuta wengine wanaspend more money katika nywele tu cause looking superb with that kinda artificial hair doesn’t come cheap at all,ila sio lazima kuspend much cause kuna celeb kama hawa bado wana-shine with their natural look.
Flavian Matata
MWANAMITINDO wa kimataifa wa Tanzania, Flaviana Matata ambaye ameng’ara kimataifa baaada ya kushinda tuzo ya Nigeria’s Next Super model na kuwa mwanamitindo bora barani Afrika wa mwaka 2012 (Africa’s Most Outstanding Model 2012)
Flavian Matata
MWANAMITINDO wa kimataifa wa Tanzania, Flaviana Matata ambaye ameng’ara kimataifa baaada ya kushinda tuzo ya Nigeria’s Next Super model na kuwa mwanamitindo bora barani Afrika wa mwaka 2012 (Africa’s Most Outstanding Model 2012)
Kajala
Actress maarufu sana hapa town wa Bongo movie aliye-hit na movie kama Jeraha la moyo,Vita Baridi,You me and Him,Shortcut,Devil Kingdom,na nyingine nyingi.na hivi sasa ame-grow big na kuweza hadi kufungua kampuni yake mwenyewe inayosimamia kazi za wasanii mbalimbali.
Lisa Jensen
MWANADADA aliyewahi kuwa Miss Tanzania mwaka 2006 na kushika nafasi ya 3 .Lisa Jensen (24) alikuwa taji Miss World Tanzania 2012 katika kumsaka maalum uliofanyika jijini Dar es Salaam na wagombea 10 Juni 16. Yeye kuwakilisha Tanzania katika Miss World 2012 katika Ordos, Mongolia ya ndani, Jamhuri ya Watu wa China,mbali na kuwa model pia ni muigizaji mzuri sana wa Bongo Movie.
Grace Matata
ni moja wa malkia wa R&B Soul nchini, she can do it all kuanzia playing guitar ikiendana sambamba na sauti yake iliyo nzuri,ametamba sana na viba vyake vingi vilivyompa jina mojawapo ikiwemo Free Soul,Imba nami etc na nyingine nyingi,she is one of the celb mwenye that natural look and still look gorgeous ata ukimtazama kwa mabali.
No comments: