Habari kwa Ufupi :

    3:00 PM F
» » New Music : Mo Racka Feat. Jigga Flo & Mapanch – Usisogee

Hii ndio Ile come back iliyokuwa ikisubiriwa na mashabiki kutoka kwa msanii wa rap Mo Racka hii hapa… Ni ngoma yake mpya kabisa iitwayo Usisogee akiwa ameshirikiana na wasanii wengine wakali Jigga Flo na Mapanch, ikiwa ngoma hii imefanyikia katika studio ya My Record ya msanii Mo Racka. Sikiliza ngoma hiyo hapa.


Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Video: Wema Sepetu - In my Shoes 'True Stars/Miss Tanzania Episode 9'
»
Previous
New Video: ,Chege ft Gift - Chapa Nyingine

No comments:

Leave a Reply