Habari kwa Ufupi :

» » » New Music: Mwasiti - Serebuka

Mwasiti Almasi amerudi tena na wimbo wenye ujumbe wa Mapenzi 'Serebuka'. Ni wimbo unaowapa moyo waliowahi kuumizwa na mapenzi kwa kutoa mfano wa wengi ambao walijitosa kwenye mapenzi na wakaumizwa. "Serebuka, unaweza pendwa tena.." Ni sehemu ya maelezo ya Mwasiti katika wimbo huu wake mpya wa Serebuka.



Wimbo huu umeandaliwa  na Tudd Thomas utakufanya userebuke kimtondo na kuyasahau maumivu kwa muda kama wewe ni mmoja kati ya walioumizwa kimapenzi hivi karibuni.

Sikiliza hapa Chini..

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
PUB ya Aunty Ezekiel na Demonte yafungwa Chanzo Kiko hapa
»
Previous
Wafahamu Washindi Na Sinema Zilizoshinda Tuzo Ya Golden Globe Awards 2014 …

No comments:

Leave a Reply