» » » Picha: Behind The Scene ya Utengenezaji wa Video ya Y-Tony 'Pendo'

Tazama hapa picha za utengenezwaji wa video mpya ya msanii Y-Tony aliye chini ya meneja Hemed Kavu aka HK anayemsimamia Snura Mushi aka Mamaa Majanga.


Y-Tony kwasasa anatamba na singo yake iitwayo Pendo.Angalia picha hizo hapa chini.










Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply