katika kuakikisha atukuachi nyuma na what happening across the grobe ni Sherehe za utoaji tuzo za Grammy na wasanii wengi wa marekani wamekuwa katika week ya kujiaandaa na tuzo hizo katika week iliyopita ambapo hitimisho la tuzo hizo lilikuwa ni jana ambvapo wasanii waliokuwa katika nomination waliweza kupata tuzo zao.
Tazama picha hizi za red carpet ya mastaa wa Marekani walivyovalia na kupendeza katika red carpet hii ya tuzo za 56 za Grammy.
No comments: