Vin & Paul
Ukiachana na kazi za uigizaji, Paul Walker, Vin Diesel na familia nzima ya Fast & Furious walikuwa ni marafiki wa karibu sana kiasi cha kuchukuliana kama ndugu miongoni mwa waigizaji wa movie hiyo. Mara nyingi muigizaji Vin Diesel amekuwa akimkumbuka mshkaji wake huyo kwa kupost picha mbalimbali za yeye na marehemu Paul Walker huku akiandika maneno yenye ujumbe kupitia mitandao ya kijamii haswa haswa Facebook. Na hii hapa ndio Picha ambayo Vin Diesel alipost hivi karibuni na kuandika maneno yafuatayo:- “There was always moments of child-like-laughter…We had accomplished so much by 2013…P.s. The complexities of Brotherhood, and the painful void…of it’s absence,”
No comments: