» » » Adam Juma na Nisher Wakutana ana kwa ana....

Siku ya february 7 pale Gymkhana Posta ndio kulikua na lile shindano la b ball kitaa ambapo waongozaji wawili na watengenezaji maarufu wa video za muziki, matangazazo ya biashara na vitu vingine Karabani na Adam Juma waliamua kupeleka ushindani wao kwenye uwanja wa kikapu na kuandaa mechi ya kuwania shilingi milioni 2.

Kivutio kikubwa kilikua pale director anayekuja kwa kasi nisher alipokutanishwa ana kwa ana na adam juma. Nisher na Adam juma kwa siku za karibuni walikua katika mabishano ya kutupiana vijembe kwenye mitandao ya kijamii .




Kwa sasa baada ya kukutana ni wazi kwamba hawa jamaa wapo safi sasa hata comments zao za instagram zilionesha hivyo.



Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply