Mwanadada aliyevuma na story za kutoka na Prezzo kutoka nchini Kenya, Loveness Diva na King Craizy Gk Sio siri tena, Loveness Diva na Gwamaka Kaihula aka King Crazy GK ni wapenzi.
Mtangazaji huyo wa Clouds FM, amepost picha yake na rapper huyo kwenye mtandao wa Instagram na kuandika:
“My King…. My GK. Gwamaka Wangu…… My friend. My guardian Angel. My hero.. My Baby. My Everything. With You By myside… I’m happy. das all i need .. to Be happy… ️…… #King&TheQueen.”
Tetesi za kuwa mastaa hao ni wapenzi zilianza kusambazwa na akaunti ya TeamChaggaBarbie ambayo ilimlazimu Diva kujibu:
“Hellow @teamchaggabarbie mamboz. kwani nimekukosea nini Mpenzi ?! mbona kila siku you so into me going HAM like dat.. kama umefungua Account for me and other celebs well n good. asa matusi yote yanini ?! why all The Fuss?! kwani King Crazy GK sio mwanaume?! asa hapo cha ajabu nini? kwani wewe huna Mpenzi? why giving too much info za watu seeking for attention? why me? and yes its a free world so i’m allowed kuwa na yeyote ninaeona is right for me .. awe GK awe yeyeto… its my choice .. its LOVE pia.. don’t ever question me.. au sina haki? why matusi ya mama angu and mie mwenyewe daily? whats up witchu?! get a life plizzz . nuff said… have Peace basi khaa.”

No comments: