Mwanadada Loveness Diva akipenda, ulimwengu na watu wote wtajua. Hajui kuficha katika mapenzi yake na haoni shida kuweka wazi hisia zake wote wajue kwa yule ampendaye . Na kwakuwa Valentine’s Day ndio hii, mtangazaji huyo wa redio ambaye kwa sasa ana uhusiano na rapper wa East Coast Team, King Crazy GK, amewaonesha followers wake wa Instagram kuwa kwa sasa si Diva the Bawse tu, bali ni ‘Diva the Queen’.
Kupitia mtandano flani hivi wa kijamii Diva amepost picha inayomuonesha akipigwa busu shavuni na Mfalme wake na kuandika: Me and My GK….. closer .. kisses from US.”
Hii inaonyesha jinsi gani Diva amefall in love na King Gk, Kila la kheri in your love you two,
Lovely Valentine day kwa lovers wote..
No comments: