Katika kusheherekea siku ya wapendanao Duniani, Belle 9 Ametoa wimbo special kwa ajili ya siku ya Valentine day aliomshirikisha Baby Madaha, Ijapokuwa Belle 9 Amesema kwamba wimbo huu ulifanyika kabla ya wimbo wake wa Nilipe Nisepe Kufanyika, na ameamua kuutoa leo Specia kwa ajil yako wewe fans wake, Wimbo umefanyika pale B Hits Music na Kusimamiwa na Producer Pancho
Usikilize hapa Chini na Kuudownload......
No comments: