» » » Picha: Mtazame Nicki Minaj Katika Muonekano Mpya.. 'tell us How She Look '

Watu wengi wanamjua Nick Minaj akuna asiyemua mpaka watoto wadogo ukiwauliza kuhusiana na Msanii Huyu watakwambia wanamjua, Nick Minaj amejizolea umaarufu mkubwa Duniani hasa kwa machachari yake kwenye video na ata Show zake pasipo kusahau Style zake za kuvaa hasa mawigi ya kila aina na nguo zenye rangirangi amabazo humfanya aonekane tofauti kabisa na katika muonekano mwingine.



Nicki Minaj tangu anaanza muziki anafahamika kwa mawig yake ya rangi rangi ya kila aina. Hata hivyo, Nick anataka kuwaonesha watu kuwa hata kama akibaki na nywele zake, bado ataonekana mrembo tu. Rapper huyo wa YMCMB, ametumia mtandao wa Instagram kuonesha picha za muonekano wake mpya wakati akipiga picha za matumizi maalum. 

Tazama picha hizo...







Je Unaweza Kutuambia Muonekano Huu Mpya wa Nick Minaj Umemfanya Apendeza au Kuchukiza.. Just Tell Us How She IS Look Like kwa Kuacha Comment zako hapo chini

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply