Mkali aliyeimba Nainai na anayehit na ‘Tupogo’ Omary Nyembo a.k.a Ommy Dimpoz yuko kwenye ziara ya muziki Marekani na Uingereza ambapo show ya kwanza imefanyika weekend iliyopita katika jiji la California nchini Marekani.
Show itakayofata itakuwa ni ya Valentine itakayofanyika London, Uingereza Jumamosi ya wiki hii February 15 na host atakuwa Salama Jabir.
Tazama Picha hizi za shoo yake ya Jijini Calfonia.....
its was so funny...Big up kwa Ommy Dimpoz kwa show nzuri na kuiwakilisha Tanzania Vizuri
Image Credit: Jestina-george
No comments: