» » » » Hiki ndicho kitu kingne kipya kutoka kwa Diamond Platnumz

Hit Maker wa My Number 1 Diamond Platnumz ameshare kionjo cha filamu yake aliyoigiza uku akiwaliza mashabiki wake kuwa anweza kuigiza?



Kupitia ukurasa wake wa instagram diamond platnumz ameweka teaser tano zinazoonekana kama jamaa yupo jagwani hivi. Hisia za wengi zinahusisha kipande hiki na movie na diamond mwenyewe hakuwa nyumba kuelezea maana ya vipande hivyo.



Je, Unadhani Diamond Platnaamz anaweza kuigiza ?

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply