Taarifa za ndani kwa ndani ilizozipata vibe ni kwamba best friends wawili, Wema Sepetu na Kajala hivi sasa hali ya mahusiano si nzuri kabisa. Kwasasa wema na kajala wameamua kuchuniana kabisa ukizingatia wema sepetu alitoa shillingi millioni 13 kwa kajala aliyotumia kuchora tattoo ya jina la wema ,Kilisema chanzo chetu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments: