» » » Music: Ally Kiba - Rosa

Baada ya kukaa kimya kwamuda mrefu pasipo kuachia wimbo wowote single, Ally Kiba sasa amerudi na kitu kipya kinaitwa Rosa.



 Sikiliza wimbo huu na mdau wetu utatuambia je ukimya wa Ally kiba Umezaa Matunda mazuri kupitia wimbo wake huu mpya wa Rosa?


Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Ile Video ya wasanii 22 wa Afrika kuhusu mradi wa ‘Do Agric’ ‘Cocoa na Chocolate’ kutoka March 31
»
Previous
Music: Meninah - Kacopy Kapaste

No comments:

Leave a Reply