Mpenzi wa Rapper wa Young Money Nicky Minaj anayejulikana na blogs za Marekani kaka Boy toy Safaree Samuels kaongeza tattoo nyingine kifuani kwake. CEO na mtayarishaji wa album ya Nicki Minaj ya Pink Friday Safaree ameonyesha wazi kuwa Nicki Minaj ndio mwanamke wa maisha yake na yuko tayari kwa lolote.
Fahamu Nicki na Safaree wamekuwa wakiongelewa kama wapenzi kwa miaka sasa toka mara ya kwanza walivyopanda kwenye jukwa pamoja kufanya wimbo wa Did On Them.
Home
»
celebrity News
»
Nicki Minaj
» Picha, Boy Friend Wa Nicki Minaj Safaree Na Tattoo Nyingine Tena Ya Mpenzi Wake
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments: