Picha: Mchumba wa Paul Wa P Square anita na Birdal Shower
Siku chache zijazo member wa P Square Paul Okoye atafunga ndoa na mchumba wake Anita Isama na kama kawaida marafiki ni watu muhimu kwenye maisha yako haswa wali wanaokuwa karibu na wewe kwenye shida na raha.
No comments: