» » » Yafahamu haya kuhusu Jux Vutton

About his love life:

Baada ya denial mbali mbali za hapa na pale kwamba yeye Jux na Jackie Cliff kuwa ni mabeste tu,but now Jux alipokuwa anahojiwa na kipindi kimoja cha stesheni ya clouds fm ali-admit kwamba walikuwa wana-date,na bado wapo katika mahusiano,bilamkujali distance iliyopo kati yao na matatizo yaliyo mkuta babe wake huyo,still hamna wakum-replace hadi hivi sasa na kumshawishi kumuacha.


Rumors kuhusu Jackie Cliff


Rumors za hapa town zilizagaa kwamba mpenzi wake aliyeshikwa na madawa ya kulevya huko nchini China na anatarajiwa kunyongwa huko china kutokana na sheria kali zilizopo nchini huko,but cha kushangaza ni baada tu ya rumors hizo kuibuka siku tano baadae Jux alipokea video call kupitia skype kutoka kwa Jackie na kuweza ku-confirm kwamba yeye ni mzima wa afya na yupo fine huko alipo.



Kujifananisha na Msanii Trey Songz


Ukimuona jux na tattoo zake zinazofanana na msanii wa marekani maarufu kama Trey Songz una kudhani kuwa Trey songz ndio role model wake katika swala zima la muziki na mavazi,but ukweli ni kwamba Price Dully Sykes ndiye msanii anayemkubali sana na aliyekuwa chanzo cha yeyekupenda muziki na kujingiza na maswala ya muziki,na ndiye mtu anayemkubali katika ma-legendary wa muziki huu wa bongo fleva,kuhusu Trey anapenda nyimbo zake tu ila sio kivile na hata hivyo hawafanani hata mavazi cause trey ana-swag za suti While jux ana Swag zake mwenyewe tofauti kabisa na Trey


Kukana utaifa wake akiwa nje ya nchi.



Rumors has it kwamba Jux anatabia ya kukana kuwa yeye si mtanzania awapo huko nchini China masomoni,ila ukweli ni kwamba watu walim-quote vibaya pale alipokuwa anaelezea jinsi sometimes kusema utaifa flani huko nchini china katika maeneo Fulani watu wanaweza kukuchukulia poa wakaweza kubana deals zisiende,ila baseline ni kwamba anajivunia kuwa yeye ni mtanzania halisi na si kweli huwa anakana utaifa wake


Muziki wake


Mbali na kufanya vizuri katika redio kwa single yake ya mwisho ya Uzuri wako ,moja ya single mbayo inasemekana kuwa ndiyo single inayongoza kuwa requested zaidi na wadada na mbali ya kuwa Video yake kali ya Nyimbo ya Uzuri Wako kufungiwa kutoonyeshwa katika media mbalimbali hapa Tz,hakujamkatisha tamaa na anatarajia ku-release Hit nyingine hapa town,anayotarajia ku-release mapema tarehe 4 ya mwezi ujao,mwezi wa tatu…stay tuned…

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply