Mariah Carey sasa ni mama wa watoto wawili,Lakin katika kipindi cha mika michache iliyopita akuwahi kufikiria kama angekuwa na watoto au angekujakuwa mama wa watoto wawili alionao sasa. Tangu akiwa na umri wa miaka 44 akuwahi kutaraji kama angekuwa mama.
Lakini mambo yalibadilika gafla baada ya kukutana na mume wake Nick Cannon ambapo walibaatika kupata watoto wawili mapacha ambao ni Moroccan and Monroe.
"Sikuwahi kufikiria kama ningekuja kuwa mama wa watoto nilionao. Nakumbuka kipindi mimi nilivyokuwa binti mdogo na kuendelea sikuwahi kufikiria kama ningekuja kuwa mama aliliambia Mtandao wa Entertainment Tonight wa Canda, kwa muda nilikuwa nashakilia msimamo huo lakini gafla niligundua mambo yalibadilika kwani watoto wangu wamenipa sababu ya kusihi il kuwatumikia" alimaliza Mariah Carey alipkuwa akihojiwa na mtandao wa Entertainment Tonight wa Canda
No comments: