Habari kwa Ufupi :

» » Picha: Mrisho Mpoto aacha kutembea kwa Miguu, sasa anatembela usafiri huu!

Mrisho Mpoto amenunua gari jipya na la kifahari? Ni ngumu kuwa na jibu sahihi kwa sasa lakini hivyo ndivyo inavyoonekana kutokana na picha aliyoiweka Mwana FA kwenye ukurasa wake wa Facebook inayomuonesha Mjomba akiwa pembeni ya gari aina ya Toyota Prado New Model ya rangi nyeusi. “Unaleta mchezo na Mjomba sio,” ameandika FA kwenye picha hiyo.

Unamuonaje Mjombamjomba katika usafiri wake mpya!

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Jay Z na mke wake Beyonce kufanya ziara za kimuziki pamoja kuanzia June 2014
»
Previous
Abiria Walionusurika Katika Ajali Ya Meli Ya Korea Kusini Wasimulia Ajali Ilivyotokea

No comments:

Leave a Reply