Baada ya Harusi na kukaa sawa Mr & Mrs Poul Okoye washerekea birthday party ya mtoto wao wa kwanza Andre's katika kusherekea birthday party hiyo ndugu yake peter pia alikuwepo katika kumuunga mkono ndugu yake huyo pamoja na wasanii wengine kama J Martini walikuwepo katika kutoa support kwa Poul Okeye na Mke wake.
Home
»
pAUL Okoye
»
Photos
» Picha: Poul Okeye wa P-Square na mkewe Anita Wafurahia Birthday ya Mtoto wao wa Kwanza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments: